Beyond Coffee

FC Lunji 

Kama Lunji tunaamini kwamba ni wajibu wetu kujihusisha na maendeleo ya nchi na kuchangia katika maendeleo hayo. Tumejiwekea juhudi la kuchangia maendelea katika jamii lililotuyunguka, kwa watu wote wanaowezesha utendaji kazi mzuri na mahusiano mazuri kwa miaka yote.


 Karibia kila siku vijana na wazee hukutana kwenye uwanja wa mpira wa Lunji Estate kushiriki katika michezo na mazoezi. Michezo kama mpira huumba umoja na kufadhili amani na urafiki.  

Ihombe Primary School

Lunji Estate tunaamini kwamba Elimu ni tumaini la taifa la Tanzania. Tunaamini kuwa elimu ina umuhimu mkubwa katika kupampana na umasikini. Wakati wote tupo mstari wa mbele katika maswala ya maendeleo ya kielimu. Miaka iliyopita shule kadhaa zimejengwa kwa msaada wa Lunji Estate. Mojawapo ya shule zilizo fadhiliwa na Lunji ni Ihombe Primary School.