Beyond Coffee

Pumzika  Lunji

Kwaajili ya wale ambao wangependa kushuhudia kwa karibu kilimo cha kahawa au wale ambao wangependa kupumzika katika mazingira ya kiasili na tulivu, tunaofa vyumba  viwili vya kulala katika guest house iliyopo shambani. Karibu kupumzika kwenye vyumba vyetu viliyo andaliwa  kwa namna ya kipekee na ya kupendeza.

Pia kunasehemu nyingi zinazofaa kwaajili ya  kufunga kambi ya mahema.Hututu Room

1 King sized Bed

Grivilea Wood and Eucalyptus  finishing and decoration

Shower+ToiletNdundulusi Room

3 medium sized Beds

Bathtub + Toilet
Wasiliana nasi kwaajili ya  maelezo zaidi