Beyond Coffee

Utunzaji wa viumbe hai

Lunji hujivunia wingi wa wanyama na mimea aina mbali mbali.

Ni wajibu wetu kutunza rasilimali hizi. Lunji hujishughulisha na upandaji wa miti asilia katika mashamba ya kampuni na pia katika hifadhi ya Mbeya Forest Reserve. Hatua zinachukuliwa kukabiliana na moto inayowashwa msituni pamoja na ukataji wa miti katika hifadhi hiyo. Lunji pia hujitoa kama mahali ambapo elimu kuhusu rasilimali hizi inaweza kufundishwa kwa jamii.

Kilimo chetu cha kahawa hufwata maadili ya wizara ya kilimo, na utumiaji wa madawa ya kemia hufanyika kwa uangalifu na utaalam wa hali ya juu.

Aina za ndege wanaopatikana Lunji:


-Sunbirds

-Starlings

-Ndundulusi

-Hondohondo (eg. Southern ground hornbill)

-Woodpecker

-Kanga

-Kwale

-Tiputip

-Bundi

-Kapungu (eg. Long Crested Eagle)

-Ndege Hamahama